BUSHA (Mshipa) – Madhara na Tiba ya Asili Bila Upasuaji

 ๐Ÿฆถ BUSHA (Mshipa) – Madhara na Tiba ya Asili Bila Upasuaji

Busha ni ugonjwa unaosababisha uvimbe mkubwa kwenye korodani kwa wanaume, miguu au sehemu za siri kwa wanawake.


⚠️ Madhara ya Busha:

✅ Kuvimba kwa korodani, miguu, midomo ya uke
✅ Maumivu makali sehemu iliyoathirika
✅ Kutojiamini na msongo wa mawazo
✅ Ulemavu wa kudumu ikiwa haitatibiwa mapema
✅ Ngozi kutoa harufu mbaya, vidonda na kutopona haraka
✅ Maambukizi ya mara kwa mara kwenye ngozi na mwili


๐ŸŒฟ Tiba ya Asili Bila Upasuaji

๐Ÿ”ถ Dawa za kunywa (Mchanganyiko wa mimea):

  1. Mbono kaburi – kuondoa uvimbe na sumu
  2. Mkole mwali & mkole bwambwa – kurekebisha mishipa na mfumo wa lymph
  3. Mkundekunde poli – kuua minyoo na kuondoa sumu
  4. Magome ya mbuyu – kuponya maambukizi na kuimarisha mwili
  5. Msipo – kusafisha damu na kupunguza uvimbe
  6. Majani ya mlonge – kuongeza kinga ya mwili
  7. Magome ya mkuyu – kutuliza uvimbe na maumivu
Na 

 Majani ya mlonge – huimarisha kinga na kupunguza maambukizi
✅ Magome ya mkuyu – hutuliza uvimbe na maumivu
✅ Unga wa tangawizi kavu – hufungua mishipa na kupunguza sumu
✅ Mafuta ya mnyonyo (castor oil) – hupunguza uvimbe na kulainisha sehemu ngumu


๐Ÿ‘‰ Jinsi ya Kuandaa na Kutumia:

  1. Safisha mimea yote vizuri kwa maji safi.
  2. Kata vipande vidogo vidogo na changanya pamoja.
  3. Chemsha kwa maji ya kutosha hadi ibaki dawa yenye rangi na harufu ya dawa.
  4. Kunywa kikombe kimoja asubuhi na kingine jioni kila siku kwa siku 30 mfululizo.

๐Ÿงด MAFUTA YA KUPAKA (Massage ya kupunguza busha):

✅ Viungo:

  • Mafuta ya mnyonyo (castor oil) – kupunguza uvimbe na kulainisha mishipa
  • Unga wa tangawizi kavu – kufungua mishipa na kutoa sumu
  • Asali ya nyuki – kuzuia maambukizi na kulainisha ngozi

๐Ÿ‘‰ Jinsi ya Kutumia:

  1. Changanya kijiko 1 cha unga wa tangawizi kavu + vijiko 3 vya mafuta ya mnyonyo + kijiko 1 cha asali ya nyuki safi.
  2. Changanya vizuri hadi iwe laini.
  3. Paka sehemu iliyoathirika asubuhi na jioni, ukifanya masaji ya taratibu kwa dakika 10 – 15.

๐ŸŒŸ Faida Zake:

✔️ Kupunguza uvimbe
✔️ Kuua minyoo na bakteria mwilini
✔️ Kurekebisha mzunguko wa damu
✔️ Kuimarisha kinga ya mwili
✔️ Kupunguza maumivu na uzito wa korodani/miguu
✔️ Kulainisha na kutibu ngozi


๐Ÿงผ Ushauri Zaidi wa Kiafya:

✨ Oga maji ya uvuguvugu kila siku
✨ Kula vizuri hasa mboga za majani na matunda
✨ Vaavua nguo safi na za pamba
✨ Tumia chandarua kinga ya mbu kila usiku
✨ Dumisha usafi wa mwili na mazingira


๐ŸŒฟ Kumbuka:
Hydrocele kubwa sana inaweza kuhitaji upasuaji. Tiba hizi za asili husaidia kupunguza uvimbe, kuua minyoo, kuimarisha kinga na kuzuia ulemavu.


๐Ÿ“ž Kwa Ushauri na Tiba ya Asili Wasiliana:

๐Ÿ“ฑ WhatsApp / Call: 0712 061 114


✅ “Usikate tamaa, ugonjwa una dawa. Asili imewekwa kwa ajili ya uponyaji wako

Comments

Popular posts from this blog

Madhabahu ni nini?

Kifungo cha utumwa

KIFO CHA MAPEMA: UFUNUO WA KIROHO