CHAKRA YA TATU
🔥 CHAKRA YA TATU – KITUO CHA NGUVU YA NDANI Imepewa nguvu na Dr Magowo 🔔 Follow 👉 Angaza Nuru --- Upo hai lakini huna msimamo? Unasikiliza kila mtu isipokuwa sauti ya ndani yako? Tumbo lako linakuharibu bila sababu ya msingi? ➡️ Labda chakra yako ya tatu imefungwa! 🔅 Solar Plexus Chakra ni nguzo ya nguvu ya ndani, uthubutu, kujiamini, na maamuzi. 🟡 Rangi yake ni njano – kama jua, kama moto wa mafanikio. 📍 Mahali ilipo: Katikati ya tumbo, juu kidogo ya kitovu – eneo linalojibana unapokuwa na hofu au kukosa uamuzi. --- ⚠️ DALILI ZA CHAKRA YA TATU IKIWA IMEFUNGWA: 🚫 Kukosa kujiamini 🚫 Hofu ya kuchukua hatua 🚫 Hasira zisizodhibitiwa 🚫 Tumbo kujaa gesi, kuharisha au kushtuka mara kwa mara 🚫 Kukosa uthubutu na kuahirisha maamuzi --- 💥 JINSI YA KUIAMSHA NA KUIFUNGUA: ✅ Sema na ujihubirie: "Ninaweza. Ninasimamia maamuzi yangu. Nuru ya ndani yangu inang'aa tena!" ✅ Kula vyakula vya rangi ya njano: Mananasi 🍍 | Ndizi 🍌 | Limao 🍋 | Tangawizi ✅ Tumia mimea: Tangawizi...