CHAKRA YA TATU
🔥 CHAKRA YA TATU – KITUO CHA NGUVU YA NDANI
Imepewa nguvu na Dr Magowo
🔔 Follow 👉 Angaza Nuru
---
Upo hai lakini huna msimamo?
Unasikiliza kila mtu isipokuwa sauti ya ndani yako?
Tumbo lako linakuharibu bila sababu ya msingi?
➡️ Labda chakra yako ya tatu imefungwa!
🔅 Solar Plexus Chakra ni nguzo ya nguvu ya ndani, uthubutu, kujiamini, na maamuzi.
🟡 Rangi yake ni njano – kama jua, kama moto wa mafanikio.
📍 Mahali ilipo: Katikati ya tumbo, juu kidogo ya kitovu – eneo linalojibana unapokuwa na hofu au kukosa uamuzi.
---
⚠️ DALILI ZA CHAKRA YA TATU IKIWA IMEFUNGWA:
🚫 Kukosa kujiamini
🚫 Hofu ya kuchukua hatua
🚫 Hasira zisizodhibitiwa
🚫 Tumbo kujaa gesi, kuharisha au kushtuka mara kwa mara
🚫 Kukosa uthubutu na kuahirisha maamuzi
---
💥 JINSI YA KUIAMSHA NA KUIFUNGUA:
✅ Sema na ujihubirie:
"Ninaweza. Ninasimamia maamuzi yangu. Nuru ya ndani yangu inang'aa tena!"
✅ Kula vyakula vya rangi ya njano:
Mananasi 🍍 | Ndizi 🍌 | Limao 🍋 | Tangawizi
✅ Tumia mimea:
Tangawizi 🌿 | Chamomile | Lemon balm | Mdalasini
✅ Mazoezi ya kupumua na utulivu wa tumbo
✅ Maombi na sala ya kiroho:
"Ee Mwenyezi Mungu, nifungulie nguvu ya ndani, roho ya uthubutu, na nuru ya kujitambua!"
---
📣 Ukiamsha chakra hii – utarudi kuwa jasiri, mwenye maamuzi thabiti, na mwanga wa ndani wa kiroho utaangaza tena!
---
Imepewa nguvu na Dr Magowo
🔔 Follow 👉 Angaza Nuru kwa maarifa zaidi ya mwili, roho, na tiba asilia.
---
#ChakraYaTatu
#SolarPlexus
#NguvuYaNdani
#DrMagowo
#AngazaNuru
#AfyaYaNafsi
#HealingWithNature
Comments
Post a Comment