WACHAWI WANAVYOIBA NGUVU ZA KIUME
👹💔 WACHAWI WANAVYOIBA NGUVU ZA KIUME
🔴 Unajua wachawi wanaweza kuiba nguvu zako za kiume bila hata wewe kujua?
Hizi ndizo njia wanazotumia kuiba nguvu za kiume kwa wanaume:
1️⃣ Kupitia ndoto za zinaa
Kuota unafanya mapenzi na mtu usiyemjua au mke/mume wa mtu.
Unaamka ukiwa umechoka sana, hauna nguvu, unakosa hamu ya tendo.
2️⃣ Kupitia vyakula na vinywaji ulivyopewa
Ukipewa chakula au kinywaji kilichologwa, nguvu zako za kiume hukauka taratibu.
3️⃣ Kupitia nguo zako za ndani
Wakipata chupi au boxer zako, wanazifanyia uchawi wa kufunga mishipa ya nguvu zako.
4️⃣ Kupitia uchawi wa maji au kioo
Wanakuroga kwa kutumia maji au kioo chenye uchawi, mishipa yako ya nguvu inafungwa na unakuwa dhaifu.
5️⃣ Kupitia majini au mizimu wachafu
Wanatuma majini kufunga nguvu zako ili usifanikiwe kwenye tendo la ndoa au biashara zako.
⚠️ Dalili za kuibiwa nguvu za kiume na wachawi:
❌ Kukosa hamu ya tendo la ndoa ghafla
❌ Kufanya tendo kwa sekunde chache sana
❌ Maumivu chini ya kitovu au kiuno
❌ Uzito sehemu za siri au korodani
❌ Kuota ukilishwa au unafanya mapenzi na watu usiowajua
❌ Kuamka asubuhi ukiwa mchovu sana, hauna nguvu yoyote
🔮 Kumbuka:
➡️ Wachawi wakishaiba nguvu zako, hutumia kwa uchawi wa utajiri, nguvu za madaraka au kufunga nyota zako usifanikiwe kimaisha.
🗝️ Ujumbe wa Leo:
"Usikubali nguvu zako za kiume ziishe bure. Kila tatizo lina dawa. Tiba ya asili na kiroho hurejesha nguvu zako na kukulinda." 🌿
🙌 Mimi Dr Magowo
🌿 Mtaalamu wa tiba za asili, tiba ya kiroho, na lishe tiba.
📞 Kwa tiba na ushauri:
WhatsApp / Call:
0712 061 114 | 0695 087 673 | 0697 009 597
🔗 Jiunge na group au channel yangu upate elimu ya tiba kila siku:
🌐 Blog: drmagowo.blogspot.com
📲 Channel: Bonyeza Hapa Kujiunga
👥 Group: Bonyeza Hapa Kujiunga
✅ “Nguvu zako za kiume ni heshima yako. Linda na rejesha kwa dawa sahihi za asili.” ✨
Comments
Post a Comment