CHAKRA YA TATU
π₯ CHAKRA YA TATU – KITUO CHA NGUVU YA NDANI Imepewa nguvu na Dr Magowo π Follow π Angaza Nuru --- Upo hai lakini huna msimamo? Unasikiliza kila mtu isipokuwa sauti ya ndani yako? Tumbo lako linakuharibu bila sababu ya msingi? ➡️ Labda chakra yako ya tatu imefungwa! π
Solar Plexus Chakra ni nguzo ya nguvu ya ndani, uthubutu, kujiamini, na maamuzi. π‘ Rangi yake ni njano – kama jua, kama moto wa mafanikio. π Mahali ilipo: Katikati ya tumbo, juu kidogo ya kitovu – eneo linalojibana unapokuwa na hofu au kukosa uamuzi. --- ⚠️ DALILI ZA CHAKRA YA TATU IKIWA IMEFUNGWA: π« Kukosa kujiamini π« Hofu ya kuchukua hatua π« Hasira zisizodhibitiwa π« Tumbo kujaa gesi, kuharisha au kushtuka mara kwa mara π« Kukosa uthubutu na kuahirisha maamuzi --- π₯ JINSI YA KUIAMSHA NA KUIFUNGUA: ✅ Sema na ujihubirie: "Ninaweza. Ninasimamia maamuzi yangu. Nuru ya ndani yangu inang'aa tena!" ✅ Kula vyakula vya rangi ya njano: Mananasi π | Ndizi π | Limao π | Tangawizi ✅ Tumia mimea: Tangawizi...